Breaking News

MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA CHAI NJOMBE.


Rais wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akiwa ameshika majani ikiwa ni hatua ya awali ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Njombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho .


Dkt. Magufuli akikagua mitambo ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Njombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.


Dkt. Magufuli akiangalia hatua za kutengeneza majani ya Chai katika mitambo, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Njombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.


Dkt. Magufuli akikagua kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Njombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.


Dkt. Magufuli akizungumza na wananchi waliojitokeza katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Njombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.


Dkt. Magufuli akisalimiana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Joseph Kakunda mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Njombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .






Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Ole Sendeka  mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Njombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .Ambapo Rais yupo mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku tatu.
 
Dkt. Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda   mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .Ambapo Mhe. Rais yupo mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku tatu.
 
Dkt. Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever.


Dkt. Magufuli akizungumza na  Mwekezaji wa kiwanda cha chai cha Kabambe Sir Ian Wood kutoka Wood Foundation mara baada ya kufua rasmi kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever
PICHA NA IKULU

No comments