KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA AFYA DK. ZAINAB 'ATIGA' WIZARANI MUDA MFUPI BAADA YA KUAPISHWA IKULU, AKABIDHIWA OFISI.
WAZIRI
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee
na Watoto Ummy Mwalimu (kulia), akimkaribisha
Katibu Mkuu mpya wa Idara Kuu Afya Dk. .Zainab Chaula, kwenye Ofisi Ndogo za
wizara hiyo zilizopo Jijini Dar es Salaam leo Januari 9, 2019 muda mfupi mara
baada ya kuapishwa na Rais Dk. John Magufuli, kushika wadhifa huo, Ikulu, Dar
es Salaam.
WAZIRI wa Afya, Maendekeo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimsikiliza Katibu Mkuu mpya.
KATIBU Mkuu mpya Dk. Zainab akizungumza baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa akishikiria nafasi yake Dk.Ulisubisya.
DK. Zainab
NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile, akitoa neno la ukaribisho wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya
WAZIRI (kulia), Ummy akisalimiana na Dk. Zainab.

WAZIRI wa Afya, Maendekeo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akipitia baadhi ya nyaraka.
NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Faustine Ndugulile, akitoa neno la ukaribisho wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya
ALIYEKUWA Katibu Mkuu-Idara Kuu Afya
Dk. Mpoki Ulisubisya akimkabidhi baadhi ya vitendea kazi Katibu Mkuu Mpya Dk.
Zainab Chaula kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Wizara Jihini Dar es Salaam
WAZIRI (kulia), Ummy akisalimiana na Dk. Zainab.
PICHA ya pamoja ya viongozi wa
wizara hiyo na baadhi ya watumishi waliopo ofisi ndogo ya wizara.
No comments