Breaking News

MATUKIO YALIYO MUHUSU WAZIRI MKUU LEOI.


Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu swali, katika kipindi cha maswali na majibu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019. 


Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Kenya nchini, Dan Kazungu, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019. 


Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Kenya nchini, Dan Kazungu, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019. 


Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini, Mubarak Alsehaijan, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019. 


Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mubarak Alsehaijan, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments