Breaking News

NAIBU WAZIRI MASANJA: PORI LA MKUNGUNERO LILITENGEWA SH. MILIONI 672 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA LANGO LA KUINGILIA WAGENI, BARABARA NA PICNIC SITE

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema kuwa  Pori la Akiba Mkungunero lilitengewa kiasi cha shilingi milioni 672 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya ujenzi wa lango la kuingilia wageni, barabara ya kilomita 47.2 na ujenzi wa Picnic Site. Tafadhali msikilize hapo👇


 

No comments