Breaking News

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.

 
Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kushoto) Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene.



Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma, Septemba 12.2019. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments