Breaking News

MKURUGENZI MPYA USALAMA WA TAIFA (TISS) ALIVYO APISHWA IKULU JANA SEPTEMBA 12, 2019.


Rais Dkt. John Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.


 
Dkt. Magufuli akishuhudia Kamishna Diwani Athuman Msuya akitia sahihi hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.



Dkt. Magufuli akisaini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

 
Dkt. Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.


Dkt. Magufuli akishuhudia Kamishna Diwani Athuman Msuya akiapa kipo cha Maadili kwa Viongozi wa Utumishi wa Umma mara baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

 
Dkt. Magufuli akizungumza mara baada ya kumuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.

 
Dkt. Magufuli akimpongeza Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.


Dkt. Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.


Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kuapishwa na Rais Dkt. Magufuli kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba. Picha na Ikulu.

No comments