UNCEF, WAKUTANA NA WADAU KULINDA WATOTO DHIDI YA UKUAJI MIJINI.
Mkuu wa Idara ya Utafiti Mkakati na Machapisho kutoka
ESRF, Profesa Fortunata Makene, akiwasilisha mada wakati wa warsha hiyo ya
kujadili namna ya kutatua changamoto za watoto na vijana katika majiji na miji,
warsha iliyofanyika jijini Dodoma tarehe 11 Septemba 2019.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto kutoka Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Mwajuma Magwiza, akiongea wakati
akifungua warsha hiyo ya kujadili namna ya kutatua changamoto za watoto
na vijana katika majiji na miji, warsha iliyofanyika jijini Dodoma tarehe 11
Septemba 2019.
Mkuu wa Sera za Hifadhi za kutoka UNICEF, Dkt,
Paul Quarles Van Ufford, akiwasilisha maada wakati wa warsha hiyo ya kujadili
namna ya kutatua changamoto za watoto na vijana katika majiji na miji, warsha
iliyofanyika jijini Dodoma tarehe 11 Septemba 2019.
Mtaalam wa Ufatiliaji na Tathmini kutoka UNCEF, Vu
Manh Hong, akiwasilisha mada wakati wa warsha hiyo ya kujadili namna ya kutatua
changamoto za watoto na vijana katika majiji na miji, warsha iliyofanyika
jijini Dodoma tarehe 11 Septemba 2019.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria warsha hiyo wakiwa
katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa warsha hiyo ya kujadili namna ya
kutatua changamoto za watoto mtoto na vijana katika majiji na miji, warsha
iliyofanyika jijini Dodoma tarehe 11 Septemba 2019.
Meza kuu wakifuatilia mawasilisho mada wakati wa warsha
hiyo ya kujadili namna ya kutatua changamoto za watoto katika majiji na miji,
warsha iliyofanyika jijini Dodoma tarehe 11 Septemba 2019.
Mchumi Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Maabara ya Ukuaji wa Miji Tanzania (TULab) Dkt. Lorah Madete,
akiwasilisha mada wakati warsha hiyo ya kujadili namna ya kutatua changamoto za
watoto na vijana katika majiji na miji, warsha iliyofanyika jijini Dodoma
tarehe 11 Septemba 2019.
No comments