Breaking News

MIAKA MINNE YA MAFANIKIO MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI


Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), kuhusu mafanikio ya  Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko akizungumza na Waandishi wa Habari (Pichani), kuhusu mafanikio ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.


Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Kemikali kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo, akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), Kuhusu Mafanikio ya Ofisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.


Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Kemikali kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo, akisisitiza jambo kwa A Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), Kuhusu Mafanikio ya Ofisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.

Picha na Idara ya Habari-MAELEZO.

No comments