Breaking News

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SHELUI, IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nzega mjini (hawaonekani pichani) Mkoani Tabora wakati akielekea Isaka mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igunga mkoani Tabora wakati akielekea Nzega.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Shelui mkoani Singida wakati akielekea Igunga mkoani Tabora.


Wananchi wa Shelui wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo. PICHA NA IKULU

No comments